Author: Writer3TZ

Kutoka kuchunga ng’ombe hadi kushinda Sh27.4 milioni ya jackpot
Jina langu naitwa David kutokea Shinyanga, ni kijana wa miaka 28 ambaye nina nguvu kubwa ya ushawishi katika jamii yangu inayonizunguka hata katika mitandao ya kijamii ambapo nina wafuasi zaidi ya 200k. Ushawishi wangu kwa asilimia kubwa unatokana na mafanikio yangu na jinsi ambavyo nimekuwa nikiwasaidia watu katika shida mbalimbali ambazo zinawakabili. Hata hivyo, nisingeweza […]
READ MORE
Wezi waliopora Sh16 milioni dukani wazingira na nyuki mikononi!
Katika moja ya vitongoji huko Mwanza kulitokea tukio ambalo liliwaacha vinywa wazi wakazi wa eneo hilo baada ya wezi waliovamia duka la bwana mmoja kuzingirwa na nyuki katika mikono yao kiasi kwamba hawakuweza kushika kitu chochote. Tukio hilo ambalo lilivuta umati mkubwa wa watu kutoka hata vitongoji vya jirani viliacha makundi ya watu kando ya […]
READ MORE
Kati ya hawa wanaume watatu niolewe na yupi?
Naitwa Leah kutoka Moshi, nina wanaume watatu, mmoja yupo Ulaya, huyu alikuwa ananimbia eti kwenda kule ni shida ila tuombe sana njia zifunguke ila mchakato uwende kwa haraka, nikamuuliza lini sasa akanijibu ataniambia. Ila hana noma fedha ananitumia na tuna miaka miwili kwenye mahusiano na kweli anaonyesha kunipenda na ana nia na mimi maana kila […]
READ MORE
Nilivyomshinda mwanaume aliyetaka kuniharibia maisha
Naitwa Ummy kutokea Zanzibar, ni binti wa miaka 24, nimemaliza chuo mwaka uliopita, sasa mwishoni mwa 2021 nilianza mahusiano na huyo kaka mwenye miaka 31 kwa sasa. Mwaka 2022 alikua anataka nimzalie mtoto nikamwambia kwa huo muda siwezi kuzaa nikiwa nasoma pia nikiwa kwa wazazi akasema basi 2023 nitazaa nikasema nitafikiria, 2023 ilipofika pia majibu […]
READ MORE
Namna unavyoweza kumpata mume wa ndoto zako
Kwa majina naitwa Aisha Said, natokea Pwani, Tanzania, ni mwanamke wa miaka 25, ni single mama wa mtoto mmoja, nilikaa mwaka mmoja baada ya kuachana na mzazi mwenzangu ndio nikaanzisha mahusiano na kaka mmoja. Kaka huyo ni mtu wa Zanzibar, kwenye mahusiano yetu alikuwa ananijali sana mimi pamoja na mtoto wangu, kwa hilo simsemi vibaya […]
READ MORE