Nilivyomshinda mwanaume aliyetaka kuniharibia maisha

Naitwa Ummy kutokea Zanzibar, ni binti wa miaka 24, nimemaliza chuo mwaka uliopita, sasa mwishoni mwa 2021 nilianza mahusiano na huyo kaka mwenye miaka 31 kwa sasa.

Mwaka 2022 alikua anataka nimzalie mtoto nikamwambia kwa huo muda siwezi kuzaa nikiwa nasoma pia nikiwa kwa wazazi akasema basi 2023 nitazaa nikasema nitafikiria, 2023 ilipofika pia majibu yangu hayakubadilika nilibaki na msimamo uleule.

July 2024 baada ya kumaliza chuo tulipishana kwa suala la kuzaa mimi nikadai siwezi kuzaa nikiwa naishi kwa wazazi akatulia, sasa nilipomaliza chuo aliniambia niende kwake nilienda alipokua anaishi ni mkoa tofauti nikakaa kama wiki mbili hivi.

Nilienda nikiwa siku salama kwenye mzunguko, picha linaanza nilivyofika tulikaa kidogo kama masaa mawili akatoka sasa wakati natandika kitanda pale kitandani nikaona hereni niliichukua nikaweka dirishani na sikumuuliza chochote.

Siku iliyofuata wakati kaenda kazini kwenye droo ya dressing table nikaona kasha la kipimo cha mimba nikaacha palepale bila kumuuliza kitu mpaka naondoka kwake.

Nilivyorudi kwetu kama wiki mbili hivi tunawasiliana kawaida alihisi nitamwambia nina mimba akaona kimya akaniuliza mbona huniambii chochote nikamwambia kipi?.

Akasema husikii hata kichefchef si tulikubaliana ukimaliza chuo utazaa nikamwambia bado naishi na wazazi hivyo sio rahisi kuzaa akachukia nilivoona vile nikajua tu ipo siku kitaniramba kwa sababu hapo tu ana watoto wawili wanawake tofauti.

Hapo nikaamua kuachana naye moja kwa moja, hiyo ni baada ya kwenda kwa Kiwanga Doctors huko Migori nchini Kenya na kunifanyia dawa zake (love spell & marriage spell) ambazo ziliniwezesha kupata kazi na mwanaume wa maisha yangu.

Kwa sasa nina kazi yangu nzuri na nipo na mwanaume ambaye ameniuoa hivi karibuni, nachoweza kusema wanawake kuweni makini kwani kuna wanaume wao ni kutaka kuharibu tu maisha ya watu. Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.co.ke au tuma email [email protected].

Share the Post:

Related Stories

My Husband Was a Pastor by Day, Witchdoctor by Night, This is How I Escaped.

I never thought I’d live to tell this story. For a long time, I kept quiet out of fear, shame, and confusion. But if my words can help even one woman escape what I went through, then it’s worth it...

She Received a Mysterious Parcel on Her Birthday, Opening It Destroyed Her Engagement

Confusion and tension rocked a quiet apartment block in Kilimani on what should have been a day of celebration. A woman’s birthday party ended in tears and broken glass after a mysterious parcel...

Man Faints at Graduation After Finding Out the Child He Raised Isn’t His

A graduation ceremony in Nairobi turned chaotic after a man suddenly collapsed just moments before his daughter was called to receive her certificate. The incident, which occurred at a popular...