stories

Latest Stories

Mke wangu anagawa sana uroda!

Jina langu ni Naumu kutokea Mbeya nchini Tanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 na mke wangu ana miaka 28 nimeishi na mke wangu huu mwaka wa nane sasa. Tatizo langu kubwa ni kwamba tulikuwa tukisumbuana sana takribani miaka yote hiyo tunagombana tu,