Jinsi ya Kuongeza Bahati Yako Kwa Hii Maisha

Jina langu ni Jerome kutokea Ifunda, nilimaliza Chuo Kikuu miaka saba iliyopita lakini sikufanikiwa kupata kazi yoyote nzuri, nilikuwa nikifanya vibarua tu vya hapa na pale hadi kushindwa kuoa kwa wakati.

Maisha yangu yamekuwa yakubahatisha huku wenzangu niliomaliza nao Chuo wakiendelea kung’ara na kununua magari na majumba ya kifahari, nilikata tamaa mara kadhaa lakini baada ya kufikiria najipa moyo kuwa kuna siku nami nitafanikiwa....CONTINUE READING