07 Feb

Je, ni sawa kumpa fedha mtu usiyemjua?

Habari zenu?, jamani naomba kuuliza kwani ni vibaya kumsaidia mtu fedha usiyemjua?, na kama kuna madhara naomba kujua ni yapi maana nimekumbana na jambo ambalo limeniacha njia panda!. Kuna siku…