Author: Writer3TZ

...
   

Jinsi ya kumrudisha ex wako kwa urahisi 

Naitwa Jesca kutoka Tanga, nilikuwa na uhusiano na kaka mmoja, tulikubaliana nikishabeba ujauzito ataenda kwetu kwa ajili ya kujitambulisha lakini mpaka najifungua alikuwa ananisumbua wala sikumuona kwetu. Basi tukawa tunagombana sana, katika kugombana mara kwa mara alikuwa ananiambia tuachane, mimi nilichukulia poa kwani ni mtu niliyekuwa namuamini kuwa hawezi kuniacha, nilikuwa namuona kama mume wangu. […]

   READ MORE
...
   

Amenilazimisha kutoa mimba zake tano kisa yeye ana mke!

Naitwa Aisha kutokea Tanga, baada ya kuachana na mwanaume niliyezaa naye, alikuwa ananiambia kwamba kama anataka amhudumie mtoto basi ni lazima kulala naye. Kweli alikuwa analipa kodi, anatoa kila kitu na alikuwa hataki nifanye kazi, alikuwa anakuja kwangu anavyojisikia, hakutaka niwe na mwanaume wengine na hata akisikia kuwa kuna mtu ananifuatilia atamtafuta huyo mtu na […]

   READ MORE
...
   

Abiria aliyenilipia nauli alivyochukua nyota yangu!

Naitwa Shamira kutoka Mwanza, kuna siku nilienda kwa mume wangu anapo fanyia kazi maana tunaisha mikoa tofauti, sasa nilipo kuwa kwenye gari kuna kaka mmoja alikua kaa siti ya pembeni kaniuliza dada unasalio kwenye simu yako. Nikasema ndio sababu tulikua tumeshatoka mjini akaniomba simu akaongea na baada ya dakika kadhaa kanirudishia. Sasa tukafika ila mimi […]

   READ MORE
...
   

Kamlipia mahari Sh3.5 milioni ili kwenda kumtesa

Naitwa Adam kutokea Dar es Salaam, nina mdogo wangu alitaka kuolewa baada ya kupata mchumba kutokea Uganda, yeye anavyodai ni kwamba walikutana naye hapa Tanzania katika shughuli zake. Sasa huyo mchumba wake akaja kumtambulisha nyumbani, akaambiwa mahari milioni 5, akatoa milioni 3 na nusu, halafu ghafla wakaondoka pamoja na kusema eti ndoa watafungia huko. Sasa […]

   READ MORE