Author: Writer3TZ

...
   

Inua tena biashara yako kwa urahisi baada ya kuyumba

Jina langu ni Izack kutokea Moshi, kwa miaka zaidi ya 15 nimekuwa nikifanya biashara ya kununua ng’ombe na kuchinja, nina miliki mabucha zaidi ya nane hapa Moshi mjini na watu wamekuwa wakisifia ubora wa nyama yangu. Ubora ya nyama ambayo nimekuwa nikiuza unatokana na utamaduni wangu wa kwenda moja kwa moja kwa wafugaji na kuchagua […]

   READ MORE
...
   

Mke aenda kumchukua mume bar akiwa na kimada!

Naitwa mama Ray, mimi na mume wangu tuna watoto wawili ambao bado ni wadogo, yeye ni mtumishi huko Kigoma, mimi nipo Arusha nafanya biashara sasa nikapumgukiwa mtaji nikamuomba akasema hana pesa labda auze bajaji yake moja. Basi nikakubali kabla hajauza tukagombana akanibrock na mimi nikabrock ilikuwa mwezi wa 11, basi tumekaa mwezi hatuongei hakuna anayemtafuta […]

   READ MORE
...
   

Njia niliyotumia kuwapa wezi wa magari yangu

Jina langu naitwa Musa kutokea Tabora, ni mfanyabiashara wa kuuza magari used hapa mjini kazi ambayo niliianza miaka zaidi ya 20 iliyopita baada ya kurthishwa na baba yangu. Kwa maana hiyo, mimi nasimamia biashara ya familia yetu nikiwa kama kaka mkubwa, nina wadogo zangu wawili, mmoja wa kiume na mwingine wa kike ambaye sasa anasoma […]

   READ MORE
...
   

Mbinu niliyotumia hadi akanioa mapema

Jina langu ni Fetty kutokea Ubungo, kabla sijamaliza chuo nilimpata mbaba (sijui kama ana watoto nimefatilia sijapata) ana miaka 35, mimi 22, kazi yake ni mwalimu, kusema kweli awali alinipenda sana. Alikuwa anakuja na gari yake magneton ananichukua napelekwa kwake (alipojenga ) nakaa pale ananitambulisha kwa majirani na wa mama wa mtaani, hivyo nikasema mke […]

   READ MORE
...
   

Kutoka kudharauliwa kibiashara hadi kuingiza mizogo kutokea China

Jina langu ni Hemedy kutokea Mwanza mjini, ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini safari yangu tangu mwanzo kabisa haikuwa rahisi, ilinibidi kupamba sana na kujitoa kuliko ilivyo kawaida. Awali nilikuwa nimeajiriwa sehemu lakini baada ya miaka michache nikaamua kuanza biashara ya mashuka na pochi, sasa kuna mtu nilimuuzia shuka kwa Sh25,000 ikiwa ni bei ya […]

   READ MORE