Author: Writer3TZ

...
   

Nawaza huyu mtoto nimpe baba mwingine!

Jina langu ni Sasha kutokea Kigamboni, Dar es Salaam, ni binti wa miaka 24, nina mtoto mmoja nilizaa na huyo kaka ni mwanachuo sasa tangu nimejifungua mpaka sasa mtoto ana mwaka na nusu huyo kaka hajawahi kutoa matumiz ya mtoto. Nikimwambia anasema yeye mwanafunzi hana hela na hajawahi kumwambia hata ndugu yake mmoja kuwa ana […]

   READ MORE
...
   

Mbinu ya kushinda tenda za fedha nyingi

Naitwa Mushi, ni miongoni mwa wafanyabiashara maarufu hapa Kilimanjaro, nijishughulisha na ujasiriamali na biashara tangu mwishoni mwa miaka 1990 nikiwa kijana mdogo kabisa. Kwa miaka yote ambayo nimekuwa katika biashara, sio kila wakati mambo yalikuwa yanaenda sawia, hapana. Kuna wakati tunasema bahari imechafuka, yaani hakuna unachoapata hadi mwisho siku unapoteza mtaji wako wote. Mimi biashara […]

   READ MORE
...
   

Jinsi ya kuikinga familia dhidi ya maadui na wezi

Naitwa Mama Fetty, nina binti wa kazi naishi nae sasa ni miaka miwili ,ni bint anajituma japo ni binadamu hakosi mapungufu yake pia muda wote huo huyu dogo naishi naye kama first born wangu maana kila nitakachowanunulia wanangu lazima naye nimnunulie. Sasa kuna siku nimetoka zangu shambani nikawa nimeingia ndani, yeye alikuwa amekaa na mwanaume […]

   READ MORE
...
   

Nyota yangu ilivyoniokoa dhidi ya mwanaume mbaya

Naitwa Fatma Ally kutokea Tanga, miaka iliyopita nishawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja ambaye kiumri namzidi miaka miaka miwili alikuwa akilalamika sana ananipenda. Baada ya muda nikamkubalia tulidumu kwenye mahusiano miez minne hivi, yeye akasafiri baada ya kusafiri nikapoteza simu, kwa hiyo nikawa nimepoteza mawasiliano naye kwa kipindi kirefu sana. Nakuja kurudi nakutana naye […]

   READ MORE
...
   

Je, ni sawa kumpa fedha mtu usiyemjua?

Habari zenu?, jamani naomba kuuliza kwani ni vibaya kumsaidia mtu fedha usiyemjua?, na kama kuna madhara naomba kujua ni yapi maana nimekumbana na jambo ambalo limeniacha njia panda!. Kuna siku nimeshuka stendi nikakutana na mkaka hivi, sio kwamba mchafu wala haonekani kama ombaomba yupo kawaida tu na alikuwa kashikilia simu mbili mkononi mwake, moja smart […]

   READ MORE