Author: Writer3TZ

Nimemkopea mume mshahara akanunua gari ila bado ananitesa!
Muda mfupi baada ya kuolewa, mume wangu aliniambia nikope mshahara wangu wote, nilikataa lakini niliishia kipigo, tena akiniambia kuwa mimi ni mbinafsi, sitaki kumpa pesa na kama siwezi kumsaidia wakati akiwa na shida basi sipaswi kuwa mke wake. Sikuwa na namna, nilichukua mkopo na kumpa, lakini badala ya kuenda kujenga alinunua gari, kumuuliza kwanini akaniambia […]
READ MORE
Bila kufanya hivi, huyu mwanaume hasingenioa
Mimi ni binti miaka 23 naishi single mwenyewe ila kuna mwanaume ambaye na mahusiano naye, sio Mtanzania ni wa nchi za jirani, yeye ameajiriwa kwenye kampuni fulani inayojishughulisha na ujenzi wa barabara. Mimi pia nafanya kazi yangu, sasa huyu kaka yeye kazini kwake kuna shida kidogo ilijitokeza sio issue kubwa sana ila kulikuwa na ile […]
READ MORE
Walioiba mashine yangu ya kusaga wajisalimisha wenyewe
Jina langu ni Aminieli kutoka Manyara, ni mtumishi wa umma huku ingawa familia yangu yote ipo Arusha mara nyingi kila mwisho wa mwezi ndio huwa naenda kuiona baada ya kupokea mshahara wangu. Huko Arusha nina mke ambaye tulifunga ndoa miaka 10 iliyopita na tumejaliwa kupata watoto wawili ambao tayari wameanza shule ya msingi. Katika kutafuta […]
READ MORE
Unavyoweza kupata mkopo wa hadi Sh1.2 bilioni
Kwa miaka wafanyabiashara wengi wa ndani na wale kimataifa wamekuwa wakiangaika kusaka mikopo yenye masharti na riba nafuhu ili kukuza biashara na miradi yao ya kiuchumi. Mimi nilikuwa mmoja wao ambaye nilisumbuka sana kutafuta mkopo ambao utawezesha kukamilisha mradi wangu wa umeme jua ambao nililenga kuzalisha umeme mwingi kwa ajili ya kuuza kwa wakazi wa […]
READ MORE
Aacha kazi ya ualimu baada ya kushinda Jackpot
Jina langu naitwa Mwalimu Kombo kutokea katika mji mdogo wa Kahama, baada ya kuhitimu Chuo nilibahatika kupata kazi ya ualimu katika shule ya binafsi mwaka 2008, kazi niliyoifanya hadi 2024. Kipindi nipo katika ajira nilipenda kufanya shughuli mbalimbali za kuniingizia kipato kama ufugaji na kilimo na kweli nashukuru nilikuwa napata sio haba. Ukafika wakati nikawa […]
READ MORE