Kamlipia mahari Sh3.5 milioni ili kwenda kumtesa

Naitwa Adam kutokea Dar es Salaam, nina mdogo wangu alitaka kuolewa baada ya kupata mchumba kutokea Uganda, yeye anavyodai ni kwamba walikutana naye hapa Tanzania katika shughuli zake.

Sasa huyo mchumba wake akaja kumtambulisha nyumbani, akaambiwa mahari milioni 5, akatoa milioni 3 na nusu, halafu ghafla wakaondoka pamoja na kusema eti ndoa watafungia huko.

Sasa familia hapa Tanzania tukawa hatuna aman kabisa binti yetu kwenda Uganda, yaani nje ya nchi yetu, na kuna watu wakawa wanamtisha mama wakisema akienda huko harudi tena ndipo ikabidi Kiwanga Doctors kuingilia kati.

Kibaya zaidi kuna wengine walimuambia mama eti huyo mwanaume anaweza kwenda kumuuza huko, tulitaka hadi kurejesha zile fedha za mahari lakini huyu mdogo wake akakataa akisema anampenda sana.

Basi nikawa sina amani kabisa kila nikiwaza nchi ya mbali moyo ukawa unaniuma sana, basi walipoenda huko Uganda mawasiliano kati yetu na yeye yakaanza kupungua na hata mume wake tukawa hatumpati katika simu.

Ghafla miaka ilienda hadi ikaaishi miwili tukiwa hatui ndugu yetu yupo wapi hadi mama akawa anaugua ugonjwa wa presha kutokana na jambo hilo.

Sasa kuna ndugu yetu mmoja alikuja nyumbani na akatueleza kuwa kuna mtaalamu anaitwa Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya anaweza kutusaidia ndipo tukafanya mipango ya kuwasiliana naye na hata kufika katika ofisi yake.

Mara moja Kiwanga Doctors alitufanyia kile kinachojulikana kama spell to find a lost person na kutuahidi kuwa ndani ya muda mfupi ndugu yetu atakuwa amepatikana.

Siku moja asubuhi mama aliona simu kutoka nje ya nchi inampigia, alipopokea kumbe ni yule mdogo wangu, akaeleza kuwa yule mwanaume alikuwa anamfungia ndani na kumtesa tu na hata kumnyanganya simu ila siku hiyo kama miujiza alifanikiwa kutoroka.

Mara moja tulifanya utaratibu na kaweza kumrejea nyumbani na sasa tunaisha naye vizuri tu. Ikiwa unapitia kitu kama hicho, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors ambao wamewasaidia watu wengi Afrika Mashariki.

Kwa uhakika tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya kama presha, sukari, uzazi n.k.

Wengine wengi wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma zao. Basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.co.ke au tuma email kiwangadoctors@gmail.com.

Share the Post: