Wezi waliopora Sh16 milioni dukani wazingira na nyuki mikononi!

Katika moja ya vitongoji huko Mwanza kulitokea tukio ambalo liliwaacha vinywa wazi wakazi wa eneo hilo baada ya wezi waliovamia duka la bwana mmoja kuzingirwa na nyuki katika mikono yao kiasi kwamba hawakuweza kushika kitu chochote.

Tukio hilo ambalo lilivuta umati mkubwa wa watu kutoka hata vitongoji vya jirani viliacha makundi ya watu kando ya barabara yakipiga soga ambazo zilikuwa zimejaa maswali yaliyokosa majibu kwa wakati huo.

Wezi hao ambao wiki moja kabla walivamia duka moja la bidhaa za jumla la vifaa vya umeme na kupora zaidi ya Sh16 milioni, inaelezwa walifikwa na masahibu hayo baada ya mmiliki wa duka hilo kumtumia Kiwanga Doctors kuwakamata.

Mmiliki wa duka hilo anayejulikana kwa jina la utani kama Mpemba, alitangaza hapo awali kuwa mtu yeyote aliyehusika na wizi wa duka lake ajitokeze na kurudisha mali za fedha alizopora kabla ya hatua kali hazijachukuliwa.

Lakini hadi siku tatu alizotoa zinaisha, hakuna aliyejitokeza, baada ya hapo alifunga duka lake na kusafiri bila mtu yeyote kujua ni wapi alipoelekea huku mamlaka zikiendelea na uchunguzi wa tukio hilo.

Kumbe Mpemba alienda huko Migori nchini Kenya kwa lengo la kuonana na Kiwanga Doctors ambaye alimfanyia tambiko la kuwakamata wezi hao (catch thieves spell) na kutoa somo kwa wengine wenye tabia kama hiyo.

Siku ya kwanza anarejea na kufungua duka lake, ndipo kundi la vijana sita ambao ndio waliiba dukani hapo, walijitokeza huko mkono yao ikizingirwa na nyuki hali iliyowashangaza wengi isipokuwa yule mwenye duka ambaye alitarajia hilo.

Mmoja wa wezi hao alikuwa amening’iniza begani begi ambalo limejaa fedha ambazo walizipora, mwenye duka alipiga simu kwa Kiwanga Doctors ambaye alitoa maelezo ya nini kifanyike kabla ya kupokea fedha hizo na hata kuwaondoa nyuki hao.

Tangu kutokea kwa tukio hilo, hakuna mtu hata mmoja anayethubutu kugusa duka la Mpemba na majirani zake. Basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.co.ke au tuma email kiwangadoctors@gmail.com.

Share the Post: